nazani ingekuwa vyema turejeshe system ya UPE hawa waka somee ualimu...
nakumbuka juzi kuna Prof alikuwa ana zungumza katika kongamano la walimu dodoma, alisema ana shangaa kuona walio feli hesabu ndio wana enda kuwa walimu wa hesabu... walio feli kemia, fizikia nao hivyo hivyo... alafu una taka matokeo makubwa ktk elimu...
nae mtoa mada nae ni wale wale... hujafungwa kamba nenda kamsomeshe mwanao anachopenda iwe urubani hata udaktari, hacha kupiga kelele za kijinga... peleka mwanao unapo hisi anafiti kwa mustakhabari wa maisha yake
hakuna mbunge au mwanasiasa atakupelekea mwanao shule kama IST, FEZA etc hivyo ni jukumu lako mwenyewe. sasa kama wewe ndio mzazi unalialia, au unashindwa kufikiria na kuchukua hatua kutoka ktk tatizo ulilo nalo, utabaki kuwa kichekesho...