Cassablanca
JF-Expert Member
- Jan 24, 2018
- 324
- 590
Wakuu kuna Raum nataka niinyanyue kwa inchi kadhaa. Nilipitia nyuzi nyingi humu nikaona wengi wanashauri kutumia aluminium spacers. Ila kwenye pitapita yangu mitandaoni nimekutana na maelezo yanayochambua ubaya wa kutumia spacers kuwa zinaharibu suspension na shock absorbers.
Naomba uzoefu kwa waliowahi kufanya hivyo.
Naomba uzoefu kwa waliowahi kufanya hivyo.