Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Mifumo yetu yote yakijasusi na kiraia imekosa au imepungukiwa watu wenye akili na kukaliwa na watu wenye nguvu. Watu wenye akili hata wakizeeka au kuugua still wanaweza kutoa strategies zakuwasaidia wenye nguvu kufanya KAZI lakini watu wenye nguvu iwe ya mwili au uchumi au ya dola wakipatwa na dhoruba kidogo tu mfumo wao au utawala wao uanguka. Watu wenye nguvu awqfikiri na maisha yao yote usimamia wanachokiamini na so kusimamia uhalisia.
Ntatoa mfano; Sabaya, Makonda, Mnyeti, Lugola, Hapi, Nape, Nchengerwa, Mwigulu, Chongolo,Ummy, Jafo, Kigwangala na watu wa aina hii ni watu wenye nguvu lakini siyo maarifa na akili. Watu hawa wote niliowataja awajawahi kufanya chochote nje ya backup ya mfumo wa Serikali. Jafo alivyokuwa Tamisemi kila siku alikuwa anaonekana kwenye mitandao ya kijamii kwa sababu alijipa jukumu lakutangaza fedha za serikali zipo wapi na zinaganya nn; alipoondoka penye fedha hakuna anayemsikia.
Ummy Mwalimu naye TU kila siku anatuambia Madara lakini tujiulize kazi ya Waziri nikutangaza idadi ya vyumba au kuna ziada. Nadhani wanaomwelewa Prof. Assad wataelewa ninachosema. Akina Makonda, Sabaya, walipotumbuliwa ndipo nguvu zao zilipoisha na nguvu zitarudi tena wakiteuliwa. Akina Kigwangala nje ya uwaziri hakuna Kigwangala, nje yabukuu wa mkoa hakuna Hapi nk
Hasa kama tunaelewana basi tutakubaliana kwamba dola imekumbatia watu wengi sana wa kariba hii nakuwapa madaraka jambo ambalo Lina dola kuyumba kwa sababu these people ara not creative at all na awakuumbwa hivyo.
Kundi la wenye akili naweza toa mfano wa Mzee Makapa, Msuya, Prof. Assad, Jaji Warioba, Butiku, Ombeni Sefue, Beno Ndulu, Tundu Lissu, Mbowe, Zito, Makamba, Mzee Mbarawa, Jeneral Sarakyikya, Said Mwema, Makala nk Hawa watu niliowataja ukiwafuatilia wamekuwa na nguvu ya akili na maarifa nje ya mfumo na ndani ya mfumo, ni kundi la watu ambao Taifa linafahamu nafasi zao hata kama wanaitikadi tofauti kisiasa. Ni watu ambao kwa kiasi flani wanaweza kuwa consulted hata wakiwa wamepoteza nguvu za mwili.
Kwa uchambuzi huu, kinachotokea nchini Sasa hivi ni matokeo ya serikali na mifumo yake kukumbati wenye nguvu nakuweka pembeni wenye akili. Hii ilizalishwa awamu iliyopita ambapo mkuu wa mkoa anajiona ni zaidi ya Waziri,zaidi ya Waziri Mkuu na Zaidi ya Makamu wa Rais. Hawa ni watu wenye nguvu. Watu wenye nguvu uua wakati wenye akili na maarifa uvunja hoja za wapinzani kwa mikakati isiyo wazi. Watu wenye nguvu utumia dola kuishi, wenye maarifa utumia akili na utashi kuishi. Wenye nguvu ugeuka lulu kwa viongozi na janga kwa wanaoingozwa wakti wenye akili usimama katika ya mtawwla na mtawaliwa kwa kuzingatia maslahi mapana ya kesho ya makundi yote. Wenye ñguvu upinga mifumo wanayoisimamia wakati wenye akili utumia uimara na udhaifu wa mifumo kufanikisha kutawala.
Kukosekana kwa watu wenye akili kumepelekea yaliyofanywa na wenye nguvu gizani yanaletwa na wenye nguvu adharani wakiamini hakuna Jambo wananchi wanaweza kufanya. Wenye nguvu wanaangalia Leo wakati wenye akili kama Mwalimu Nyerere wanaanalia miaka mia mbele.
Mhe. Rais ,natamani utengeneze mfumo wa kuwaondoa wenye nguvu na kuwaleta kazini wenye akili ambao watajua kuua ni dhambi na awwtaua nakujitokeza adharani mahakamani au kwenye vyombo vya dola kutetea mauaji. Wenye nguvu walianza kwa akina Mwangosi na toka waliporuhusiwa kujitetea kwenye vyombo vya habari bila kukemewa basi wameongezeka na kuzaa wasiojulikana ambao nao baada yakuona utamu wakujulikana sasa wameamua kwa dhati ya nguvu zao kujulikana maaana Waziri hana say na mtu yeyeote mwenye akili atakayejitokeza na kuwakemea basi mfumo utamshughulikia. Lakini tujiulize, tumekabidhiwa kuongoza au kuadhibu?
Tafakuri ya Nyaishozi.