Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Wakati simba wanasijili bila kocha tuliongea na kusema sio utaratibu ila mashabiki wa simba walitukebehi na kutubeza amekocha kocha kuna baadhi ya wachezaji amesema haridhishwi nao kama lakred, ngoma, koblan na onana.
Mpaka sahivi timu imeingia gharama nyingine ambazo hazikua na ulazima za kumsajili striker mwingine hizi gharama zingeepukika kama viongozi wa simba wangefuata professionalism kwa kuanza na kocha alafu ndo wakafuata wachezaji.