Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Kuongoza timu kwa matamshi na Tambo kupitia YouTube
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye JamiiForums yao hawatajwi hovyo hovyo kwani WANATISHA na KUOGOPEKA na ukiwataja uwe UMEAGA pia Kwenu.Hivi unaogopa nini kuwataja GENTAMYCINE na OKW BOBAN SUNZU ndiyo waliokuwa wanashadidia. Azizi Ki anamuona
Hata kocha angeweza kupewa wachezaji na akashindwa na atakayefata akawatumia na wakafanya vizuri.Kikosi chenye mafanikio ni shirikishi pamoja na mbinu za ushindi