Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Waliambiwa madhara yake wakawa wanabisha kwa nguvu zote kabla hata msimu haujaanza madhara yameanza onekanaKumbe wamesajili wachezaji bila kocha hilo ni tatizo endelevu inamaana hakuna project hapo, simba wana project ya mdomoni
Ndiyo madhara ya uongozi wa mtu mmoja,(one man show), utaendelea kutoleta furaha kwa wanachama kama wapo na mashabikiWaliambiwa madhara yake wakawa wanabisha kwa nguvu zote kabla hata msimu haujaanza madhara yameanza onekana
hilo ndo tatizo linaloitafuna simba sc.uwezi sajili bila kocha maana kocha ndo anafahamu maitaji ya timu yake kulingana na wachezaji atakaokuwa nao kwa wakati huo.Wakati simba wanasijili bila kocha tuliongea na kusema sio utaratibu ila mashabiki wa simba walitukebehi na kutubeza amekocha kocha kuna baadhi ya wachezaji amesema haridhishwi nao kama lakred, ngoma, koblan na onana
Mpaka sahivi timu imeingia gharama nyingine ambazo hazikua na ulazima za kumsajili striker mwingine hizi gharama zingeepukika kama viongozi wa simba wangefuata professionalism kwa kuanza na kocha alafu ndo wakafuata wachezaji
Sio request ya kocha ila walisajiliwa kocha akiwepo ni tofauti na simbaSimba ni kama chelsea ya enzi zile kocha ukizidi ni miezi sita,sasa ya nini kusikiliza mtu mtakayekaa nae kwa miezi sita
Hakyna timu inasajri kwa kumsikiliza kocha,hata mkude na chama sio request ya kocha wa yanga
Kikosi chenye mafanikio ni shirikishi pamoja na mbinu za ushindiKila kocha anayeondoka akija mpya husajili wachezaji wake au anafanya kazi na kikosi anachokikuta?
Hivi unaogopa nini kuwataja GENTAMYCINE na OKW BOBAN SUNZU ndiyo waliokuwa wanashadidia. Azizi Ki anamuonaWakati simba wanasijili bila kocha tuliongea na kusema sio utaratibu ila mashabiki wa simba walitukebehi na kutubeza amekocha kocha kuna baadhi ya wachezaji amesema haridhishwi nao kama lakred, ngoma, koblan na onana
Mpaka sahivi timu imeingia gharama nyingine ambazo hazikua na ulazima za kumsajili striker mwingine hizi gharama zingeepukika kama viongozi wa simba wangefuata professionalism kwa kuanza na kocha alafu ndo wakafuata wachezaji
Tulia wewe, tajiri KarudiWakati simba wanasijili bila kocha tuliongea na kusema sio utaratibu ila mashabiki wa simba walitukebehi na kutubeza amekocha kocha kuna baadhi ya wachezaji amesema haridhishwi nao kama lakred, ngoma, koblan na onana
Mpaka sahivi timu imeingia gharama nyingine ambazo hazikua na ulazima za kumsajili striker mwingine hizi gharama zingeepukika kama viongozi wa simba wangefuata professionalism kwa kuanza na kocha alafu ndo wakafuata wachezaji
Mechi tatu simba akifungwa kocha atafukuzwa bado mechi 2Waliambiwa madhara yake wakawa wanabisha kwa nguvu zote kabla hata msimu haujaanza madhara yameanza onekana
Hatufukuzi Kocha wala mchezaji, na kukuza wachezajiMechi tatu simba akifungwa kocha atafukuzwa bado mechi 2
Safi sana na hongereni,(that is a good spirit)Hatufukuzi Kochs waka mchezaji, tunajenga wachezaji
hatufukuzii ila tunajarbu kujenga kikosiHatufukuzi Kochs waka mchezaji, tunajenga wachezaji