Wazazi huwa wana viherehere sana vya kutahiri watoto.
Haswa hawa wazazi wa TIK TOK akina MA MTU na BA MTU, ni majangaa... mtoto ana wiki kashatahiriwa.
MA MTU kafuga kucha anapokea ushauri kwa mashosti, akili yenyewe hana, basi huyo nduki kwenda kukata GOVI LA MWANA.
Mwisho wa siku mtoto anabaki na kibamia halafu wanabaki kushangaa mbona hawaridhishwi.
Sasa hivi tutapeleka MUSWADA bungeni wa kuhakikisha kila anayetaka kuzaa awe na angalau MASTERS.
Tumechoshwa na ujinga wa akina MA MTU na BA MTU. Tutakuja kuwa na TAIFA LA VIBAMIA.
Hivi hii haihatarishi usalama wa Taifa? Mzee wangu
johnthebaptist Extrovert Mbaga Jr Poor Brain Lamomy cocastic dronedrake