Madhara ya kutoa mimba

Madhara ya kutoa mimba

Joined
Aug 11, 2017
Posts
61
Reaction score
78
MADHARA YA KUTOA MIMBA.

Kutoa mimba ni nini? Hii ni hali ya mwanamke kwa hiari yake mwenyewe kuharibu mimba iliyoingia ndani ya kizazi chake.

Hebu tuyaangalie madhara ya kutoa mimba kama ifuatavyo…

Ugumba kwa wanawake wengi:

Miaka hii ya karibuni wanawake wengi ambao wanalia kutopata watoto wana historia za kutoa mimba miaka iliyopita, na wengi wao nao wanajuta sana kwa maamuzi yao. Hii inatokana na madhara makubwa waliyoyapata kwenye mfuko wa uzazi baada ya mimba kutoka.

Mimba kutunga nje ya kizazi:

Mfuko wa uzazi una utando maalumu amaboa hufanya mimba iliyotungwa kwenye mirija iitwayo fallopian kuwezesha yai kushuka hadi kwenye mifuko ya uzazi. Lakini utoaji wa mimba huambatana na magonjwa ya mirija hiyo na kupoteza utando huo na kusababisha mimba kukulia huko.matibabu ya tatizo hili ni kukata mrija husika tu hivyo kuongeza hatari ya ugumba.

Kuzaa watoto wasio na akili nzuri:

Utoaji wa mimba kuharibu mlango wa mfuko wa uzazi kushindwa kushika vizuri na matokeo yake mwanamke huyu hujikuta akizaa kabla ya mda husika akibeba mimba nyingine. Lakini pia watoto hawa wanaozaliwa kabla ya muda maalumu na viungo ambavyo havijakomaa hupata shida ya ubongo na kua wagonjwa wa akili maisha yao yote.

kansa ya mlango wa uzazi.

Wanawake wanaotoa mimba wana hatari kubwa ya kupata kansa ya mlango wa uzazi kuliko wengine ambao hawajatoa mimba. Hii ni kwasababu ya kusumbuliwa kwa mlango huo kwa dawa za kutoa mimba, vifaa vya kutoa mimba na mabadiliko ya ghafla ya homoni za uzazi.

Kuathirika kisaikolojia;

Hakuna mwanamke ambaye hatakaa ajutie maamuzi yake ya kutoa mimba siku za usoni hata kama hakupata madhara yeyote hii itamfanya aishi kama ana deni Fulani maisha yake yote na itakua inamuumiza usiku na mchana. Zingine ni kukosa hamu ya kula, kusikia sauti ya mtoto anayelia wakati hayupo,

NB: kumbuka kila mwaka wanawake takribani 70000 duniani wanakufa kwa kutoa mimba.

maumivu ya kukosa mtoto ni makali sana kuliko aibu ya kutoa mimba.

Jiunge sasa na Chuo chetu kwa njia ya Whatsapp,Kwa Ada ya 2000/Kwa mwezi Upate Elimu ya Tiba Asili.

Wasiliana na Dr.Seifu.dodoma.
0620144253./0769116206.
 
Hayo hapo [emoji115][emoji115]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok, kuna njia kuu 2 ambzo ni common sana...

1. Vidonge au sijui madawa gani wanajua wenyewe
2. Dokta kuitoa na mikono na vifaa vyake

...je hayo madhara yanaeffect ktk hizo njia zote au inategemea ametoaje.?

Na vipi kuhusu wale ambao inatoka yenyewe au ambao inawabidi watolewe hasa wenye kifafa cha mimba.!!?

Naomba ufafanuzi tafadhari...
 
Naanza na nukta yako ya kwanza

Kutoa mimba kwa vifaa/dawa au kwa mikono kote kuna madhara ambayo hutofautiana ,na si kila anaetoa mimba anaweza kukutana na madhara yote hayo madhara yatategemea katoa kwa njia gan na mara ngapi.

Pia ikiwa mimba imetoka yenyewe hiyo inaashiria ni tatizo la mfumo wa uzaz alokuwa nalo mhusika kabla ya mimba kutoka.

Ifahamike tu kwamba kutoa mimba ni jambo la hatar sana kinyume na watu wanavyodhani

Back
Top Bottom