Daaah, kwa hayo machache uliyoelezea mkuu, kwa kweli wewe unahitaji psychotherapy ya nguvu kuweza kukurudisha kwenye msingi wa 'urijali'. Else, kama Mwali alivyogusia hapo juu, yawezekana kabisa umeanza kuingia kwenye mtiririko wa kuanza kupenda wanaume wenzako. Jambo ambalo unaashiria kutoka nafsi yako mwenyewe kutoliridhia. Ni vyema umegundua tatizo na kuwa mstari wa mbele kulielezea ili kupata ufumbuzi.
Swali: Specifically, kinachokuchosha au kukuudhi muda mfupi tu pale umpatapo mwanamke ni kipi?? Sura yake, umbile lake, umbile lake la uke, harufu, nywele chafu, nyodo, tamaa zake, au kitu gani hicho??