Madhara ya kutofanya mapenzi

Yaani nikikusoma ni kama unapenda zaidi kampani ya wanaume wenzio kuliko wanawake, jambo ambalo lilikufanya kuhama toka kwenu kwenda kukaa nao huko dojo, sijui dojo...Haya bwana.
 
mimi pia nilikata miaka 25 bila kuugusa upaja wa mwanamke zaidi ya kuona kwenye movie zile za pilau tu! Lakini sa ivi fresh tu nasonga fresh
 
Hakuna madhara yoyoyte kiujumla wake ila lazima ujue kisaikolojia binadamu hubadili concentration ya pleasure kadili akuavyo ndo maana watoto huconcentrate kunyonya maziwa ,kunyonya kidole akikua kidogo ana concentrate kula kila kitu mchanga ,analilia wali etc akiongezeka anahama pia kwenye jinsia kama ni wakike anaanza kubeba midoli kutembea kike kumpenda baba ,wa kiume yeye anajifanya a hero and masculine yaani anapenda movies za vita ,anord schwerznegger mara ajifunze sarakasi (ndo stage yako) kisha at 15 to boys na 13 girls wanaanza kuhamisha centre of pleasure kujihusisha na jinsia nyingine hadi 20's hiki ndo huwa kipindi cha true love ,20-30's hapo ni kuadopt adult hood kujifunza kuzungumza na watu wazima kuhudhuria misiba kufanya marafiki ,kushinda bar kunahusika ,kisha baada ya 30's huwa ni kurudi mwanzo tena .

sasa sisi wanasaikolojia huiwa hii ni theory tunayoitumia kumuelewa mtu ,kwa wewe kitaalamu unapaswa ujilazimishe kwenda ile stage ya 15-20 anza kwa kuwa salimia wasicha kwa kuwashika mkono walau sekunde 20 ukimsalimu si lazima umtongoze,fuga mnya na uwe una mlea mwenyewe kumwogesha kwa two month hii itakuchange to next stage .trust me
 
Daaah, kwa hayo machache uliyoelezea mkuu, kwa kweli wewe unahitaji psychotherapy ya nguvu kuweza kukurudisha kwenye msingi wa 'urijali'. Else, kama Mwali alivyogusia hapo juu, yawezekana kabisa umeanza kuingia kwenye mtiririko wa kuanza kupenda wanaume wenzako. Jambo ambalo unaashiria kutoka nafsi yako mwenyewe kutoliridhia. Ni vyema umegundua tatizo na kuwa mstari wa mbele kulielezea ili kupata ufumbuzi.

Swali: Specifically, kinachokuchosha au kukuudhi muda mfupi tu pale umpatapo mwanamke ni kipi?? Sura yake, umbile lake, umbile lake la uke, harufu, nywele chafu, nyodo, tamaa zake, au kitu gani hicho??
 
hahahahaha teh teh teh teh mkuu hapo umenena hakuna ngono nzuri na tamu kama ya kwenye njozi we ni mwendo wa kuwachapa nao tu.
Masista duu masuper staa madem karibia woote wa mtaani nishawagonga.

Kemea hiyo hali. Kiroho ina maana zaidi ya unavyofikiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…