Madhara ya kutokufanya mapenzi

moses one

Member
Joined
Jul 9, 2014
Posts
10
Reaction score
2
Eti wadau,

Mimi ni kijana nina miaka 22 nimehitimu kidato cha sita hivyo najliandaa kuingia chuo hivi karibuni. Sijawahi kufanya mapenzi mpaka umri huu, nimekuwa mwoga sana kwa wanawake, hivyo naishia kuumia tu.

Vipi wadau nifanyeje, pia kuna madhara gani nisipofanya?
 
Hakuna madhara yeyote ndugu yangu ila tafuta ata ligi ndogo zile piga hata kidogo
 
Upo kama mimi mzee....

Mara ya kwanza naonja ladha ya PAPUCHI nilikua nimemaliza form six...

Halafu papuchi yenyewe ilikua form two.. Bado ya motoooo..... ilikua burudani sana.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Madhara yake siku zikikupanda ghafla kitaa afu huna mchumba ako wa kuzipunguzia unaeza kupata kesi ya kunaniii kuku,bata ama ata mbuzi atakaekua anapita karibu yako time io
 
Reactions: dtj
Upo kama mimi mzee....

Mara ya kwanza naonja ladha ya PAPUCHI nilikua nimemaliza form six...

Halafu papuchi yenyewe ilikua form two.. Bado ya motoooo..... ilikua burudani sana.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Baada ya kuonja inaonekana ulikuwa hatari zaidi.!
 
Hongera sana kwa kujitunza. Neno la Mungu linasema kuwa mwili wako ni hekalu la Mungu (Kor 6:19)., Pia aziniye na mwanamke hana akili kabisa (Mith 6:32). We cha kufanya weka mawazo yako ktk elimu yako, nayaona mafanikio makubwa sana mbele yako.

Hakuna hasara au madhara yeyote kwa 'kuikimbia zinaa' ni faida tupu. Nimalizie kwa kukupa hongera ya kupata nafasi ya chuo. Mungu wa mbinguni akubariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…