Eti wadau,
Mimi ni kijana nina miaka 22 nimehitimu kidato cha sita hivyo najliandaa kuingia chuo hivi karibuni. Sijawahi kufanya mapenzi mpaka umri huu, nimekuwa mwoga sana kwa wanawake, hivyo naishia kuumia tu.
Vipi wadau nifanyeje, pia kuna madhara gani nisipofanya?