shibekijijini
JF-Expert Member
- May 26, 2015
- 358
- 478
CHAPUTA imesajiliwa?Karibu CHAPUTA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHAPUTA imesajiliwa?Karibu CHAPUTA
Eti wadau,
Mimi ni kijana nina miaka 22 nimehitimu kidato cha sita hivyo najliandaa kuingia chuo hivi karibuni. Sijawahi kufanya mapenzi mpaka umri huu, nimekuwa mwoga sana kwa wanawake, hivyo naishia kuumia tu.
Vipi wadau nifanyeje, pia kuna madhara gani nisipofanya?
Yeah Kwa reg no .132/PuRI/ selfie/sabuni..orgCHAPUTA imesajiliwa?
[emoji85] [emoji85]Yeah Kwa reg no .132/PuRI/ selfie/sabuni..org
Akhsante Mkuuu..Hongera sana kwa kujitunza. Neno la Mungu linasema kuwa mwili wako ni hekalu la Mungu (Kor 6:19)., Pia aziniye na mwanamke hana akili kabisa (Mith 6:32). We cha kufanya weka mawazo yako ktk elimu yako, nayaona mafanikio makubwa sana mbele yako.
Hakuna hasara au madhara yeyote kwa 'kuikimbia zinaa' ni faida tupu. Nimalizie kwa kukupa hongera ya kupata nafasi ya chuo. Mungu wa mbinguni akubariki.
kama upi???????//Kabisa
Izi mambo zina umuhimu wake
22 yrsUmri wako plse?
Anaitwa DOMO ZEGEHivi.. Binadamu jinsia ya kiume ambaye hajawai kukutana na mwanamke..kingono.....( i think you know)....huwa wanaitwajeee???????
Wewe ni wa KE kweli??Madhara yake siku zikikupanda ghafla kitaa afu huna mchumba ako wa kuzipunguzia unaeza kupata kesi ya kunaniii kuku,bata ama ata mbuzi atakaekua anapita karibu yako time io