Madhara ya kutumia dawa za kuongeza vichocheo mwilini

Madhara ya kutumia dawa za kuongeza vichocheo mwilini

Uchochezi wa aina yoyote lazima uwe na madhara tena makubwa...
 
Il tel u something, hakuna chemical ambayo haina madhara. The effects might not be sudden, but with time ziko even worse.
Iko hivi, kwa mfano tuchukulie mvuta sigara, leo akivuta fegi moja alaf kesho mapafu yakaharibika kabisa, do u think mtu mwingine atavuta after observing that? Lakini kwakua madhara sio ya ghafla tunaendelea kujichoma na kujipa moyo. The compound effect goes on n on by the time madhara yanaonekana dhahiri, hakuna njia ya kurudi kurekebisha.
So, hata kwa hizi vichocheo, if ungepaka mkongo leo na kesho dushelele lisisimame tena, hakuna ambae angetumia. But kwakua madhara ni baadae ndo maana wengi wanakua waraibu.
Therefore, ni sawa mtu mwingine akitumia maana kila mtu ana safari yake binafsi. Ni machaguo yao. Kuna vitu you cant compete with. Leo utamuonea wivu because amekua mandingo ghafla, but 10 years later wewe ukiwa unambanjua wife ako daily, mandingo huyo huyo atakua amekaa anaangalia pono coz hakuna atakachoweza kumfanya mwanamke yoyote yule. Sasa hapo chagua, fedheha ipi ni kubwa kati ya kuonekana wa kawauda ryt now au kishindwa kabisa kufanya chochote in the future.
Daah ni kweli, ila hapa umezungumzia sanasana upande wa vichocheo kwaajili ya kudumu kwenye game muda mrefu na mikorogo.

Ila nimemaanisha dawa za kuongeza ukubwa sana sana mkuu
 
Duuh ila zinasambaa sana habari zake, hata humu nimeziona, ngoja tuone waliowahi kutumia wanasemaje nao
hizo slidenafil zinafanya kazi na zipo approved na madkatri uwakika matokea nyingine lisaa nyingine nusu saa zila jamii ya viagra ,erecto na njoi

ila kukuza na kunenepesha utapigwa labda za wamasai wa chuga huko kilimanjaro ila town wengi scammer
 
Product ipo tena kwa njia ya asili kabisa, nimepewa khabari na mtu wa karibu amewahi kutumia moja kwa mzee mmoja wa kimasai, though siku tano za mwanzoni unakojoa mkojo unarangi kidogo.

Nikiona vijana wanasumbua sana naenda kula na mm product
 
Back
Top Bottom