pale maeneo ya Kamata .. Kijana mmoja nusura agongwe na treni ,japo ilimgusa na kumburuza kidogo ... kisa alikua ameweka earphones .,..
pamoja na sauti ya treni ,honi ,watu kumuita kwa nguvu , magari kupiga honi... lakini stil yule kijana hakusikia kitu . sijui alikua anatumia za aina gani.. au alikua na msongo wa mawazo. ?