Madhara ya kutumia earphones

Madhara ya kutumia earphones

tian

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2007
Posts
1,770
Reaction score
537
Naomba kujuzwa na wataalam madhara ya kutumia earphones.
 
Unaweza kugongwa na gari ukiwa unatembea na hayo madude sikioni. Ina maana hata hiyo huijui?

kuna kijana wa chuo, hapa dodoma, aliligonga treni akapoteza maisha (treni haligongi mtu au kitu), kisa amevaa headphone.
 
pale maeneo ya Kamata .. Kijana mmoja nusura agongwe na treni ,japo ilimgusa na kumburuza kidogo ... kisa alikua ameweka earphones .,..
pamoja na sauti ya treni ,honi ,watu kumuita kwa nguvu , magari kupiga honi... lakini stil yule kijana hakusikia kitu . sijui alikua anatumia za aina gani.. au alikua na msongo wa mawazo. ?
 
Hy earphone pia inaweza kukusababishia kuto sikia kbx coz ngoma ya sikio inaweza kupasuka pia unashauri kutumia earphn ila ikiwa katika sauti ya chn hy inaweza kukusaidia hat kuepuka ajali.
 
Ukiwa unasikiliza mziki kwa sauti kali huku unatembea unalose focus,
 
Back
Top Bottom