mkweli wa mambo
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 329
- 180
Habari zenu wadau wa afya..Juzi juzi nilitoka kumpeleka mchumba angu clinic moja hivi inayotibu kwa kutumia tiba asilia..nilichukua uamnuzi huo baada ya kuwa anasumbuliwa sana na maumivu chni ya kifua wenyewe wanasema chembe ya moyo.
Nilipofika kwa dokta nikakikuta kifaa icho kinachoitwa QUANTUM RESONANCE MAGNETIC ANALYSER. Nilistuka kidogo kutokana na maelezo ya daktari kwakuwa alisema kuwa ni kifaa kilichotengenezwa china,kinasoma mifumo ya mwili wako mzima..Zaidi akaniogopesha kwa kuniambia kuwa eti wanakitumia kwa siri kwakuwa serikali haitaki wao watumie kifaa hicho,ivyo kama tunakubali kupewa tiba iyo bhasi tusiende kuwasemea.
Tulikubali na tukapewa tiba..Looooh!!!! nilistaajabu kuona jinsi kinavyofanya kazi, mgonjwa anashika sensor mkononi then ndani ya dakika moja kinasoma kila kitu katika mwili wako na kutoa ripoti hapohapo ( mchina kweli noma!!!).kama sehemu ina kasoro bhasi ripoti inaandika kwa rangi nyekundu.
Duuuh nashukuru maana mchumba angu hakuwa na tatizo lolote zaidi ya ukosefu wa vitamin E na mafuta mengi mwilini( according to doctor) ILA SASAA!! NAOMBENI MNIJUZE KITU, HII MASHINE HAINA MADHARA KWA MTUMIAJI? NA KWANINI SERIKALI IWAKATAZE KUTUMIA? Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.