Madhara ya kutumia mbolea ya kiwandani katika mazao ya shambani

Madhara ya kutumia mbolea ya kiwandani katika mazao ya shambani

FALSAFA

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
293
Reaction score
58
Ndugu WanaJF nataka kufahamishwa madhara ya mbolea kutumiwa katika mazao ni yepi?
 
Chakula hakiwi fresh natural ndio mana ️kuna organic food na ndio Bei sana ,hutumika Na watoto wadogo ,wazee,Na watu wa kawaida wanao jali afya Zao
 
Ndugu WanaJF nataka kufahamishwa madhara ya mbolea kutumiwa katika mazao ni yepi?

mbolea za viwandani ni inorganic kwahiyo zina kiasi fulani cha kemikali ambazo zinaingia katika vyakula.kwa mfano nyanya,mkulima anatumia mbolea za viwandani (mbolea za chumvichumvi) kuanzia kupandia mpaka kuvuna.kwahiyo zile kemikali tayari zimeingia ndani ya tunda yaani nyanya.inapofika kwa mlaji ata akiosha kwa maji moto haisaidii kitu. Ndio maana kansa haziishi kila iitwapo leo.Ila pia ni wakati kubadilika na kutumia organic fertilizer kwani zipo.mf.Bioplus,mboji n.k.
 
Back
Top Bottom