Madhara ya kutumia vidonge vya uzazi wa mpango huku wanawake wakisahau njia bora ya kupanga uzazi ni kutumia kondom na kalenda tu

Hivi ile ya mwanaume akifunga kizazi anakua na uwezo wa kumwaga wazungu?
Kumwaga anamwaga ila ni majimaji tu yasiyotungisha mimba ila ni upuuzi
Hakuna tofauti na punyeto
 
Na kweli! Waape kimya kimya...
Mimi pia nilijiapiza kutokutumia hizo njia. Nimejikuta nimepata mapacha bila kupenda. Yani nimembebea mimba mtoto akiwa na miezi 5.
Baada ya kujifungua huyu nimeweke kitanzi faster!
Kweli jiapizeni kimya kimya jmn. Kama hayaja kukuta huwezi elewa kabisa!
 
Wewe ni mwanamke?
 
Yalitukuta na wife kubeba mimba isiyotarajiwa kwa sababu ya kuhesabu calendar.Hiyo ni high risk sana mpaka wife kaamua kuweka kitanzi .
 
Kama mwenzi wako sio mlevi ni nzuri,mi kalenda haijawai niangusha,mwaka wa saba huu.Cha msingi ni kua Makini kwenye kuzihesabu siku.
Umakini ndio kazi inayowashinda wengi. Hapo umakini ni wito kwelikweli, Njia hii haijawahi niangusha kwenye Mapito yangu!!
 
Asante tumefanania kabisa mtoto miezi mitano mimba ingine

Pole sana shosti lkn hope unaenjoy saiv!!
 
Aliyekudanganya condom ni njia salama kakudanganya sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…