Madhara ya kuunganisha bluetooth ya simu!

Madhara ya kuunganisha bluetooth ya simu!

Mkuu Chai yako ina sukari nyingi. Umesema uko chooni tena nyumbani kwako na sebuleni pa nyumbani kwako hapo hapo kuna wageni ukawawashia bluetooth ya matusi.

Swali fikirishi: unaposema hujarudi nyumbani hadi sasa unamaanisha nyumbani ipi?? Au unatumia choo cha jirani!
Anyway maigizo yamekuwa mengi.
Haya rekebisha sukari tunywe hivo hivo
Yaani nimependa masali fikirishi uliyomuuliza. Tatizo letu tulio wengi kwenye uhandishi ni namna ya luallign flow of ideas and thought. Sasa yeye anaandika tu , hafikilii je idea na thought zangu zimeallign. Kweli atuambie choo kama kiko ndani basi lazima alipita sebureni, labda kama aliruka kupitia dirishani akatokomea huko anakosema yuko hajarudi tena nyumbani
 
Kwani aliloandika ni la ajabu halowezi tokea?
Linawezekana ndiyo ila ninaamini hata wewe kuna watu the way wanavyo changia au kuandika thread inakupa picha ni mtu wa viwango gani kwa kuja na jambo kama hilo, ila kama pia nimekosea naomba radhi ila kwa thread hiyo hapana.
 
Mkuu Chai yako ina sukari nyingi. Umesema uko chooni tena nyumbani kwako na sebuleni pa nyumbani kwako hapo hapo kuna wageni ukawawashia bluetooth ya matusi.

Swali fikirishi: unaposema hujarudi nyumbani hadi sasa unamaanisha nyumbani ipi?? Au unatumia choo cha jirani!
Anyway maigizo yamekuwa mengi.
Haya rekebisha sukari tunywe hivo hivo
Jibu linaweza kuwa rahisi kwamba alipotoka chooni hajarudi sebleni akaamua kutokomea pasipo julikana
 
Leo 𝘯𝘪𝘮𝘦𝘦𝘯𝘥𝘢 𝘤𝘩𝘰𝘰𝘯𝘪 𝘳𝘢𝘧𝘪𝘬𝘪 𝘺𝘢𝘯𝘨𝘶 𝘢𝘬𝘢𝘯𝘪𝘵𝘶𝘮𝘪𝘢 𝘷𝘪𝘥𝘦𝘰 𝘺𝘢 𝘹𝘹𝘹 𝘕𝘪𝘬𝘢 � 𝘱𝘭𝘢𝘺 𝘯𝘢𝘰𝘯𝘢 𝘏𝘢𝘪𝘯𝘢 𝘴𝘢𝘶𝘵i 𝘪𝘬𝘢𝘯i𝘣𝘪𝘥𝘪 𝘯𝘪𝘰𝘯𝘨𝘦𝘻𝘦 𝘴𝘢𝘶𝘵i 𝘏𝘢𝘥𝘪 100 𝘭a𝘬i𝘯i 𝘣𝘢𝘥𝘰 𝘏𝘢𝘪𝘯𝘢 𝘴𝘢𝘶𝘵𝘪.., 𝘯𝘥i𝘰 𝘯𝘪𝘬𝘢𝘬𝘶𝘮𝘣𝘶𝘬𝘢 𝘬𝘪𝘱𝘪𝘯𝘥𝘪 𝘯𝘢𝘵𝘰𝘬𝘢 𝘴𝘦𝘣𝘶𝘭𝘦𝘯𝘪 𝘯𝘪𝘭𝘪𝘬𝘶𝘸𝘢 𝘯𝘪𝘮𝘦𝘶𝘯𝘨𝘢𝘯𝘪𝘴𝘩𝘢 𝘣𝘭𝘰𝘰𝘵𝘰𝘵𝘩 𝘯𝘢 𝘴𝘪𝘮𝘶 𝘺𝘢𝘯𝘨𝘶.. 𝘩𝘢𝘭𝘢𝘧𝘶 𝘴𝘦𝘣𝘶𝘭𝘦𝘯𝘪 𝘬𝘶𝘭𝘪𝘬𝘶𝘸a 𝘒𝘶𝘯𝘢 𝘸𝘢𝘨𝘦𝘯𝘪 𝘩𝘪𝘷𝘰 𝘴𝘪𝘫𝘢𝘳𝘶𝘥i 𝘯𝘺𝘶𝘮𝘣𝘢𝘯i 𝘏𝘢𝘥𝘪 𝘓𝘦𝘰 𝘩𝘪𝘪 .

#Naombeni Ushauri.
#Nimeposti kwa niaba ya rafiki yangu.
Commit suicide
 
Back
Top Bottom