Yaani nimependa masali fikirishi uliyomuuliza. Tatizo letu tulio wengi kwenye uhandishi ni namna ya luallign flow of ideas and thought. Sasa yeye anaandika tu , hafikilii je idea na thought zangu zimeallign. Kweli atuambie choo kama kiko ndani basi lazima alipita sebureni, labda kama aliruka kupitia dirishani akatokomea huko anakosema yuko hajarudi tena nyumbaniMkuu Chai yako ina sukari nyingi. Umesema uko chooni tena nyumbani kwako na sebuleni pa nyumbani kwako hapo hapo kuna wageni ukawawashia bluetooth ya matusi.
Swali fikirishi: unaposema hujarudi nyumbani hadi sasa unamaanisha nyumbani ipi?? Au unatumia choo cha jirani!
Anyway maigizo yamekuwa mengi.
Haya rekebisha sukari tunywe hivo hivo
Linawezekana ndiyo ila ninaamini hata wewe kuna watu the way wanavyo changia au kuandika thread inakupa picha ni mtu wa viwango gani kwa kuja na jambo kama hilo, ila kama pia nimekosea naomba radhi ila kwa thread hiyo hapana.Kwani aliloandika ni la ajabu halowezi tokea?
Umenikumbusha kale kawimbo aaaangaza angaza maisha ya binadamuNenda Angaza
Jibu linaweza kuwa rahisi kwamba alipotoka chooni hajarudi sebleni akaamua kutokomea pasipo julikanaMkuu Chai yako ina sukari nyingi. Umesema uko chooni tena nyumbani kwako na sebuleni pa nyumbani kwako hapo hapo kuna wageni ukawawashia bluetooth ya matusi.
Swali fikirishi: unaposema hujarudi nyumbani hadi sasa unamaanisha nyumbani ipi?? Au unatumia choo cha jirani!
Anyway maigizo yamekuwa mengi.
Haya rekebisha sukari tunywe hivo hivo
Commit suicideLeo ๐ฏ๐ช๐ฎ๐ฆ๐ฆ๐ฏ๐ฅ๐ข ๐ค๐ฉ๐ฐ๐ฐ๐ฏ๐ช ๐ณ๐ข๐ง๐ช๐ฌ๐ช ๐บ๐ข๐ฏ๐จ๐ถ ๐ข๐ฌ๐ข๐ฏ๐ช๐ต๐ถ๐ฎ๐ช๐ข ๐ท๐ช๐ฅ๐ฆ๐ฐ ๐บ๐ข ๐น๐น๐น ๐๐ช๐ฌ๐ข ๏ฟฝ ๐ฑ๐ญ๐ข๐บ ๐ฏ๐ข๐ฐ๐ฏ๐ข ๐๐ข๐ช๐ฏ๐ข ๐ด๐ข๐ถ๐ตi ๐ช๐ฌ๐ข๐ฏi๐ฃ๐ช๐ฅ๐ช ๐ฏ๐ช๐ฐ๐ฏ๐จ๐ฆ๐ป๐ฆ ๐ด๐ข๐ถ๐ตi ๐๐ข๐ฅ๐ช 100 ๐ญa๐ฌi๐ฏi ๐ฃ๐ข๐ฅ๐ฐ ๐๐ข๐ช๐ฏ๐ข ๐ด๐ข๐ถ๐ต๐ช.., ๐ฏ๐ฅi๐ฐ ๐ฏ๐ช๐ฌ๐ข๐ฌ๐ถ๐ฎ๐ฃ๐ถ๐ฌ๐ข ๐ฌ๐ช๐ฑ๐ช๐ฏ๐ฅ๐ช ๐ฏ๐ข๐ต๐ฐ๐ฌ๐ข ๐ด๐ฆ๐ฃ๐ถ๐ญ๐ฆ๐ฏ๐ช ๐ฏ๐ช๐ญ๐ช๐ฌ๐ถ๐ธ๐ข ๐ฏ๐ช๐ฎ๐ฆ๐ถ๐ฏ๐จ๐ข๐ฏ๐ช๐ด๐ฉ๐ข ๐ฃ๐ญ๐ฐ๐ฐ๐ต๐ฐ๐ต๐ฉ ๐ฏ๐ข ๐ด๐ช๐ฎ๐ถ ๐บ๐ข๐ฏ๐จ๐ถ.. ๐ฉ๐ข๐ญ๐ข๐ง๐ถ ๐ด๐ฆ๐ฃ๐ถ๐ญ๐ฆ๐ฏ๐ช ๐ฌ๐ถ๐ญ๐ช๐ฌ๐ถ๐ธa ๐๐ถ๐ฏ๐ข ๐ธ๐ข๐จ๐ฆ๐ฏ๐ช ๐ฉ๐ช๐ท๐ฐ ๐ด๐ช๐ซ๐ข๐ณ๐ถ๐ฅi ๐ฏ๐บ๐ถ๐ฎ๐ฃ๐ข๐ฏi ๐๐ข๐ฅ๐ช ๐๐ฆ๐ฐ ๐ฉ๐ช๐ช .
#Naombeni Ushauri.
#Nimeposti kwa niaba ya rafiki yangu.