Madhara ya kuvaa Chupi

Madhara ya kuvaa Chupi

Ghamoghi

UTI haisababishwi na chupi au ukosefu wa usafi kwa mwanamke tu. Maumbile ya mwanamke na vyoo wanavyotumia vinaweza vikawa vichocheo.

Mwanamke analazimika kuvaa chupi kwa sababu ya maumbile yake japo sio kila wakati.

Ushauri mzuri ni kuwaomba wavae chupi za cotton na ziwe zinakauka vizuri. Lakini wavae wakiwa wamejikausha.

Ila point ya kusema chupi inazuia wanaume tusipate haki yetu kwa wakati sio kweli. Mimi napenda niivue mwenyewe na sio mhusika. Sasa wewe una haraka gani mpaka utake itolewe kabisa, au zitatoka kabla ya tendo🙂
 
Kama ishu ni kuacha hapo kwenye kikojoleo pa pate hewa, kuna hii aina mpya yafaa kwa matumizii hayo.
54939f58e6fe6f44cb29e3184c05ed94.jpg

U hata hivi vya chekecheke ni poa tu.
HTB1aRzpIFXXXXaTXVXXq6xXFXXX1.jpg
 
Ghamoghi

UTI haisababishwi na chupi au ukosefu wa usafi kwa mwanamke tu. Maumbile ya mwanamke na vyoo wanavyotumia vinaweza vikawa vichocheo.

Mwanamke analazimika kuvaa chupi kwa sababu ya maumbile yake japo sio kila wakati.

Ushauri mzuri ni kuwaomba wavae chupi za cotton na ziwe zinakauka vizuri. Lakini wavae wakiwa wamejikausha.

Ila point ya kusema chupi inazuia wanaume tusipate haki yetu kwa wakati sio kweli. Mimi napenda nitoe mwenyewe. Sasa wewe una haraka gani mpaka utake itolewe kabisa, au zitatoka kabla ya tendo🙂
chupi za cotton ni ghali almost 20 thousanda
tunaishi uswazi nyumba ina familia ishirini utaanika wapi chupi zako? si bora usivae tu mkuu?
 
Ghamoghi

UTI haisababishwi na chupi au ukosefu wa usafi kwa mwanamke tu. Maumbile ya mwanamke na vyoo wanavyotumia vinaweza vikawa vichocheo.

Mwanamke analazimika kuvaa chupi kwa sababu ya maumbile yake japo sio kila wakati.

Ushauri mzuri ni kuwaomba wavae chupi za cotton na ziwe zinakauka vizuri. Lakini wavae wakiwa wamejikausha.

Ila point ya kusema chupi inazuia wanaume tusipate haki yetu kwa wakati sio kweli. Mimi napenda nitoe mwenyewe. Sasa wewe una haraka gani mpaka utake itolewe kabisa, au zitatoka kabla ya tendo🙂
Shukrani kwa ujumbe wako mkuu.
Watalizingatia pia hili
 
Mwanaume kutovaa kitu cha kubana ndani nayo ni kokoro
 
Chupi pia hupindisha dushee, yangu mpk leo imepindia kushoto ha ha sasa ni mwendo wa boxer pana tu, sema shida huja nikiona mzigo matata na mgombea akasimama huwa inabidi kukaa kwanza mahali au kuweka mikono mfukoni ili kuficha hasira za mgombea
 
Back
Top Bottom