Madhara ya kuvaa Chupi

chupi za cotton ni ghali almost 20 thousanda
tunaishi uswazi nyumba ina familia ishirini utaanika wapi chupi zako? si bora usivae tu mkuu?

Sasa Miss Natafuta, kipi bora! kuumwa UTI mara kwa mara au kununua chupi za cotton? Halafu anayenunua sio wewe, wewe agiza tu, au sema sina chupi uone!. Lazima shemeji ataleta tu.

Mabadiliko ya tabia nchi hayana muda maalum. Unaweza usivae halafu ghafla mambo yakawa sio mambo na hela ya taxi huna.
 
Duh! kuanzia leo kiupi kule mimi hukoooo,Ndiomaana kale kamsemo vilivyo WAZI vinaachwa vinaliwa VIFUNIKWAVYO [emoji23]
 
nani ananunulia watu chupi niende mkuu?
 
Naona zile kampen za [HASHTAG]#VUA[/HASHTAG] CHUPI zinaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…