Madhara ya kuvaa Chupi

Madhara ya kuvaa Chupi

Mtoa POST siku UKISHIKWA NA TUMBO LA kuharisha,,na upo mbali na HUDUMA ZA CHOO,, , na HUJAVAA Hata CHUPI..... Ndy utajuwa faida za chupi....
 
Hii ni kwa wanaume na wanawake wa Dar.Sisi wa mikoani makambako,njombe mafinga,mbeya kuna baridi hatari!
 
Kuvaa chupi kuna umuhimu wake jamani; kama unataka ipunge upepo usiku ndio bomba Zaidi....mtazamo wangu.
 
Back
Top Bottom