Madhara ya kuweka mafuta vibaba kwa voxy

Madhara ya kuweka mafuta vibaba kwa voxy

babkaju3

Senior Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
118
Reaction score
94
Habari wa jamii naomba kufahamu madhara ya kuweka mafuta kidogo kidogo kama ya 5000 au 10000 na kutembelea mpk yanaisha alafu naweka tena ya 5000 kwa gari kama Noah voxy nini madhara ya baadae ...Asanteni nasubir majibu kwa wajuz
 
Full tank inashawishi jamani ! Mimi naweka elfu 10, na mizunguko yangu ya kawaida sana , kazini na Kurudi yatosha !!
 
Back
Top Bottom