babkaju3 Senior Member Joined Mar 9, 2015 Posts 118 Reaction score 94 May 18, 2019 #1 Habari wa jamii naomba kufahamu madhara ya kuweka mafuta kidogo kidogo kama ya 5000 au 10000 na kutembelea mpk yanaisha alafu naweka tena ya 5000 kwa gari kama Noah voxy nini madhara ya baadae ...Asanteni nasubir majibu kwa wajuz
Habari wa jamii naomba kufahamu madhara ya kuweka mafuta kidogo kidogo kama ya 5000 au 10000 na kutembelea mpk yanaisha alafu naweka tena ya 5000 kwa gari kama Noah voxy nini madhara ya baadae ...Asanteni nasubir majibu kwa wajuz
shushushu VIP JF-Expert Member Joined Jul 24, 2016 Posts 4,799 Reaction score 4,312 May 18, 2019 #2 Kuharibu pump
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 May 18, 2019 #3 Akiba haiozi
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,496 May 18, 2019 #4 Weka full tank halafu punguza mizunguko.
atouch JF-Expert Member Joined Sep 21, 2015 Posts 303 Reaction score 184 May 18, 2019 #5 Full tank inashawishi jamani ! Mimi naweka elfu 10, na mizunguko yangu ya kawaida sana , kazini na Kurudi yatosha !!
Full tank inashawishi jamani ! Mimi naweka elfu 10, na mizunguko yangu ya kawaida sana , kazini na Kurudi yatosha !!