Watu wengi walio kwenda shule wanaugonjwa mmoja , wakuto fanya makosa, namaananisha wanaogopa sana kukosea. Wanajitahidi sana kuwa smart hasa wale wenye akili.. wakati wale wa class D darasani ndio matajiri, wenye bishara kubwa na wanasiasa wakubwa na ndio wanaotumikiwa na hawa wakali darasani.. Elimu siku zote inatufundisha kwamba faulu sana upate kazi nzuri.. Lakini haitufundishi kuwa matajiri..
Watu wanadanganywa na kina Gates, Jobs (R.I.P) wakati wao walikuwa wanasoma tokea wadogo vitu wafanyavyo sasa
Acha shule uone ilivyotabu kupata hata mia nne ya kwenda mwenge
HAPANA Wapo pia matajiri genius wengi tu. hizo ni hisia tu na potofu mfano obama kwa marais, pili Mengi kwa matajiri wenu
Watu wanadanganywa na kina Gates, Jobs (R.I.P) wakati wao walikuwa wanasoma tokea wadogo vitu wafanyavyo sasa
Acha shule uone ilivyotabu kupata hata mia nne ya kwenda mwenge
Who told u that?. .vilaza wengi ndo wafujaji wa pesa ponda mali kufa kwaja na nanu kaiona kesho km walivyokuwa hawaogopi vimeo (sup) ndio hvyox2 katika maisha..muulize must kilaza na mollel kilaza...
Hamkumuelewa mtoa mada. Amesema vipanga, sio kuacha kusoma.Nakuunga mkono Mkuu. Yaani maisha yakikuchapa yanakuchapa jumla. Ukianguka, kusimama ni ndoto. Vinginevyo unatakiwa usilale na saa zote unakimbiakimbia. Jamani shule muhimu! Tusisahau, tuko Tanzania - nchi inayostahili kuwa kwenye maajabu ya dunia.