Madhara ya kwenda shule na kuwa kipanga

Madhara ya kwenda shule na kuwa kipanga

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Watu wengi walio kwenda shule wanaugonjwa mmoja , wakuto fanya makosa, namaananisha wanaogopa sana kukosea. Wanajitahidi sana kuwa smart hasa wale wenye akili.. wakati wale wa class D darasani ndio matajiri, wenye bishara kubwa na wanasiasa wakubwa na ndio wanaotumikiwa na hawa wakali darasani.. Elimu siku zote inatufundisha kwamba faulu sana upate kazi nzuri.. Lakini haitufundishi kuwa matajiri..
 
HAPANA Wapo pia matajiri genius wengi tu. hizo ni hisia tu na potofu mfano obama kwa marais, pili Mengi kwa matajiri wenu
 
Who told u that?. .vilaza wengi ndo wafujaji wa pesa ponda mali kufa kwaja na nanu kaiona kesho km walivyokuwa hawaogopi vimeo (sup) ndio hvyox2 katika maisha..muulize must kilaza na mollel kilaza...
 
• Many millionaires drop out of college to start their business.
FALSE
80% of millionaires are college graduates.
 
Watu wanadanganywa na kina Gates, Jobs (R.I.P) wakati wao walikuwa wanasoma tokea wadogo vitu wafanyavyo sasa
Acha shule uone ilivyotabu kupata hata mia nne ya kwenda mwenge
 
Watu wanadanganywa na kina Gates, Jobs (R.I.P) wakati wao walikuwa wanasoma tokea wadogo vitu wafanyavyo sasa
Acha shule uone ilivyotabu kupata hata mia nne ya kwenda mwenge

Nakuunga mkono Mkuu. Yaani maisha yakikuchapa yanakuchapa jumla. Ukianguka, kusimama ni ndoto. Vinginevyo unatakiwa usilale na saa zote unakimbiakimbia. Jamani shule muhimu! Tusisahau, tuko Tanzania - nchi inayostahili kuwa kwenye maajabu ya dunia.
 
Waliokwenda shule wengi wavivu wa vitendo wanataka akili iwafanyie kila kitu Hapo ndipo wanapochemsha
 
Waliokwenda shule wengi wavivu wa vitendo wanataka akili iwafanyie kila kitu Hapo ndipo wanapochemsha

Pia ni waoga wa kufanya mambo mapya kwa kuogopa kufeli, wanadhani ni darasani. Ukiangalia wengi ni waajiriwa.
 
HAPANA Wapo pia matajiri genius wengi tu. hizo ni hisia tu na potofu mfano obama kwa marais, pili Mengi kwa matajiri wenu

Obama usimweke kwa kuwa ni mwanasiasa kama wengine, wanasiasa fedha zao ni za kisiasa.. Mengi nanai aliyekwambia alikuwa kipanga?
 
Watu wanadanganywa na kina Gates, Jobs (R.I.P) wakati wao walikuwa wanasoma tokea wadogo vitu wafanyavyo sasa
Acha shule uone ilivyotabu kupata hata mia nne ya kwenda mwenge

Bilgate mwenyewe anasema kuna jamaa alikuwa ni kipanga darasani kwake, na alikuwa kila siku anamzidi lakini hadi leo jamaa ni engineer kwa microsoft company..? hatuja sema tuache shule ila shule haitufundishi maisha ya kujikomboa kifedha (financial freedom)
 
Who told u that?. .vilaza wengi ndo wafujaji wa pesa ponda mali kufa kwaja na nanu kaiona kesho km walivyokuwa hawaogopi vimeo (sup) ndio hvyox2 katika maisha..muulize must kilaza na mollel kilaza...

Leta data sio maneno, umesema vyema vilaza hawaogopi, ndio hata ktk real world ndio wanaojaribu hata biashara kubwa, pia ni wazuri kuwatumia vipanga kufanikisha mambo yao kama walivyo kuwa wanawaomba vipanga wawasaidie maswali darasani.
 
Vipi walikuwa wanakugaragaza nini? Ninakupa mfano wa schoolmates wangu vipanga wote sasaivi ni ma PhD na professors ni lecturers vyuo vya nje 1 na hapa mmoja. Wakuu wa mashirika, zonal managers, wenye Masters nao wawili wanafanyakazi US 1, internatinal org. Wamewekeza sana kwaiyo siuoni umaskini utatoka wapi nikifikiria hali walizotoka yaani familia zao. Kilaza wetu ambae alikuwa anatoroka vipindi na akapata 0 A level namkuta anabeba mabango ya adverts barabarani siku nyingine anagawa vipeperushi.
Usidanganywe na school dropouts walikuwa ma genius na uwezo wa kiakili ni mkubwa. Kama vilaza mali watahesabu vipi? Hao wanasiasa wasio na elimu wengi hufuja na hawana hata investment uzeeni wako hoi wamejaa tele yanabaki majina tu nilikuwa mbunge.... Soma uondoe ujinga
 
Nakuunga mkono Mkuu. Yaani maisha yakikuchapa yanakuchapa jumla. Ukianguka, kusimama ni ndoto. Vinginevyo unatakiwa usilale na saa zote unakimbiakimbia. Jamani shule muhimu! Tusisahau, tuko Tanzania - nchi inayostahili kuwa kwenye maajabu ya dunia.
Hamkumuelewa mtoa mada. Amesema vipanga, sio kuacha kusoma.
 
kuna msemo wa kizungu unasema there are things you will never be taught at school.vipanga wengi wa darasani linapofika swala la uchakarikaji ,ujanja na ubunifu wa kutafuta mafanikio ktk maisha ni magoi goi sana.wengi wao wanapo maliza masomo wanalazimisha ku-apply principles/rules ya kile walichofundishwa darasani ktk real life experience.mwisho wake wanafeli.umri umeenda na maisha yanawaacha nyuma, baadae baadhi yao hukumbilia ktk ulevi wa kupindukia.
 
Back
Top Bottom