F FALSAFA JF-Expert Member Joined Sep 10, 2014 Posts 293 Reaction score 58 Feb 5, 2015 #1 Wanajamii FF. nahitaji kuelimishwa juu ya madhara ya madawa ya kemikali katika kilimo cha bustani za mbogamboga kwa BINADAMU. na nahitaji kujuzwa madawa ya asili ya kulinda na wadudu wasiharibu mbogamboga katika bustani. NAWASILISHA KWENU.
Wanajamii FF. nahitaji kuelimishwa juu ya madhara ya madawa ya kemikali katika kilimo cha bustani za mbogamboga kwa BINADAMU. na nahitaji kujuzwa madawa ya asili ya kulinda na wadudu wasiharibu mbogamboga katika bustani. NAWASILISHA KWENU.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Feb 5, 2015 #2 Mada yako pana sana, ngoja wajuzi waje watatufafanulia zaidi.