Wanajamii FF. nahitaji kuelimishwa juu ya madhara ya madawa ya kemikali katika kilimo cha bustani za mbogamboga kwa BINADAMU. na nahitaji kujuzwa madawa ya asili ya kulinda na wadudu wasiharibu mbogamboga katika bustani. NAWASILISHA KWENU.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.