Madhara ya magic powder

Madhara ya magic powder

BRO SANTANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
1,845
Reaction score
2,248
Habari wakuu,
Naomba kujua madhara ya kunyoa ndevu kwa kutumia magic powder.

Maana leo nilingia saloon moja kinyozi akaniambia magic powder ipo lakini kuna mteja mwingine alibishana sana na kinyozi kuwa zina madhara lakini yule kinyozi akasema huwa anatumia kila siku na hakuna mteja aliyelalamika.

Msaada wenu wataalamu
 
Mi nimeutumia sana, ila kwa sasa nimeacha kwani ni kama inanifanya niwe na mvi mapema sana.
 
Mi sion madhara yakw hata kidogo maana toka nimeanza kuitumia miaka 15 sasa sikuona madhara yake si sijui kwa wenzangu na nikitumia kiwemba natoka na mapele
 
Inategemea na ngozi ila mi sijawahi na sitakaa niitumie.
Kuna rafiki yangu ametumia imemtoa mapele.
 
Hahahaha,kaaazi kweli kweli.
Mie huwa naona sawa na kiwembe tu,maana vyote vinanitoa mapele balaa.

Suala la madhara linaweza kuwepo,maana ukitaka kujua angalia jinsi kwenye ukiichoma moto inavyojisokota,halafu angalia wakati wa kuwekwa ile foam ya Powder muda mfupi nywele inakuwa haina jipya kama jivu vile.

Ila lazima watu waje na facts za kitabibu sio hizi zetu za kubahatisha
 
Nadhani mnapaka ambazo wabongo wanazochakachua, mie nna mwaka wa 10 natumia na shavu laiiiiini,
 
M nilitumia mwanzoni then nikaacha lkn kwa jinsi nilivyoona wale nilionza nao kutumia wengi videvu vyao vimechoka yan vimekomaa vimekua kama gamba hiv pia wakinyoa ndefu thn zinapoanza kuota hua zinawasha sana kidevu, pia kuna baadhi ya watu inawafanya nywele zinakua zinaotea ndani kwa ndani hii upelekea ndevu kuuma sana.
Japo wengine wanadunda nayo nadhani ngozi pia inategemea
 
Msihangaike
Kuna waganga wa Kienyeji wana Dawa unapaka inakufanya usiote teeeena ndevu.

Ila Jiandae tu,baada ya kuzuia kuota ndevu inakutoa mahips
 
Mimi nishahamishia saloon chumbani na magic powder ndio habari ya ndevu zangu.
 

Attachments

  • 1438550734183.jpg
    1438550734183.jpg
    47.7 KB · Views: 514
Hiyo maneno haifai!,mimi ilishawahi kunitoa maupele kidevu kizima,wala siwezi kurudia tena kuitumia.
 
Back
Top Bottom