Madhara ya magic powder

Madhara ya magic powder

Binafsi mimekuwa nikitumia hiyo powder kwa muda mrefu.na so.far sijaona madhara yoyote tena naiona ni salama zaidi kuliko kutumia machine ambayo inatumika na wateja wengi hali ambayo inaweza kukuletea skin infection.Tena ushauri wangu wa bure kama uchumi unaruhusu ni vema kwenda salon ukiwa na machine yako na sio ile ya kuchangia
 
Magic powder haina madhara hata kidogo kwa wale viwembe vimewakataa ndo huwa wanatumia iko vizuri tu
 
Not Medical Advice: A side effect of using Magic
Shave is that it reveals dark spots, scars & other
blemishes. Thus, it requires the use of a
lightening cream.
 
Hahahaha,kaaazi kweli kweli.
Mie huwa naona sawa na kiwembe tu,maana vyote vinanitoa mapele balaa.

Suala la madhara linaweza kuwepo,maana ukitaka kujua angalia jinsi kwenye ukiichoma moto inavyojisokota,halafu angalia wakati wa kuwekwa ile foam ya Powder muda mfupi nywele inakuwa haina jipya kama jivu vile.

Ila lazima watu waje na facts za kitabibu sio hizi zetu za kubahatisha

kumbe akhii nawe wanyoa ndevu?
 
Hy Ni Kweli Hata Mimi Imenitokea.Nilikuwa Sijui Sababu Yake Ya Kuota Nywele Maeneo Hayo.Hata Hvy Nanyoa Maeneo Hayo Kwa Kutumia Hy Hy Powda Je Kuna Madhara Gani Mengine?
hakuna madhara mengine, dawa yake uingiziwe DICK hapo palipoota nywele.
 
Back
Top Bottom