Madhara ya matumizi ya mkanda wa kupunguza tumbo

PAMAGE

Senior Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
150
Reaction score
85
naomba msaada kujuzwa juu ya matumizi faida na madhara ya mkanda wa kupunguza tumbo kwa wanawake

na njia mbadala ya kupunguza tumbo hasa ya vyakula na vinywaji
 
naomba msaada kujuzwa juu ya matumizi faida na madhara ya mkanda wa kupunguza tumbo kwa wanawake

na njia mbadala ya kupunguza tumbo hasa ya vyakula na vinywaji
1.MADHARA
Nikiwahi kuutumia ndugu unaendesha mafuta na mwili kuishiwa nguvu unaweza kupata matatizo mengine sikushauri uutumie .
2.NJIA MBADALA
Fanya zoezi la.kutembea kwa dakika 30 kwa siku kwa siku 5 za wiki.punguza maubwabwa na masembe japo kwa wiki 2 utagundua tofauti
.
 
asante my dear
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…