Nini madhara ya mfumo wa dijitali katika ajira itakapofika Desemba 31 2012? Katika mikoa mbalimbali kuna TV za mikoa zinazomilikiwa na Halmashauri. Je zitaweza kuingia katika mfumo wa dijitali na kuweza kuonekana kwenye ving'amuzi au ndiyo itakuwa mwisho wao umefika na hivyo kujifia wenyewe?. Je nini hatima ya watumishi wa hizo TV?.