Madhara ya ongezeko la tozo la miamala katika jamii

Tuliaa ww adui wa jpm..hapo n mwanzo tuu..kuna mengi yajayoo..najua moyoni mwako unamkumbuka jpm kwa uthabiti aliokuwa nao..ila huku jf unabwabwajaa tuu..pyu pyu pyuu kuhusu jpm..uzur hata ww utatuma helaa...kazi iendeleee..
 
Kitu cha ajabu wananchi hao hao wanapolalamikia ugumu wa kitu serikali inakua haina solution ila linapokuja swala la kukandamiza wananchi serikali fasta inareact,miaka sasa tunalalamikia makampuni ya simu kuibia watu,serikali ipo kimya ila kwenye hii kodi sababu anayeumia ni maskini hata mwezi haijapita tayari ishaanza kuumiza watu!
 
Kodi gani unayolipa wewe? Ukienda dukani hudai risiti na ukiuza hutoi risiti ndio maana unalia Lia hovyo humu..lipa kodi Nyerere alitumia hadi bakora kwa watu kama nyie Ili mlipe kodi

Nyerere alipunguza hadi mshahara wake.

Sisi wanapeana magari ya mamilioni, majumba ya mabilioni, wao, wabunge, mawaziri, na vigogo wengine kodi hawa lipi. Wanapanga kujenga masanamu.

CAG kuripoti wizi wao kila leo na hakuna hatua zinazochukuliwa.

Hiki kimeumana.

Kama wewe ni wao au mufaika muda wako wa kulipa kodi stahiki au kuwajibishwa umewadia.
 
MAENDELEO binafsi hayapatikani bila ya kuufunga mkanda.....

MAENDELEO ya nchi hayapatikani bila ya KUIFUNGA MIKANDA.....

*****************

Mkuu wangu leo unasema AFADHALI YA JANA ?!! 😲😲

Daaah binadamu sisi....Kutwa ulikuwa unasema tuko "jehanamu" na KUMSHAMBULIA hayati JPM....leo hii JANA ni bora ?!!! Ha ha ha ha

#KaziIendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…