Madhara ya oral sex

Madhara ya oral sex

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
2,469
Reaction score
586
Wadau kuna Binti mmoja ananisisitiza nimnyonye sasa mimi naogopa labda naweza pata magonjwa hatarishi.

kuna anayejua madhara ya oral sex atueleze ili wote tuelimike.
 
ile aehem ina viini ving vya magonjwa....na mdomo unasence magonjwa zaid kuliko sehm nyingne...kanaa za koo....haikuachi........
gugo ana mambo meng zaid jarb kumuuliza
 
wadau kuna pinti mmoja ananisisitiza nimnyonye maku sasa mimi naogopa labda naweza pata magonjwa hatarishi. kuna anayejua madhara ya oral sex atueleze ili wote tuelimike.

jina lako lenyewe.....
 
Ipige povu Kali iwakewake then pigs katelelo!!vijana Wa siku hizi mmekua kama wahindi!!hata kufanya mapenzi mnaomba ushauri !!alahhhh hamuendi jando na unyago ndo maaana!
 
mpenda maku nyonya tu jiandae kutibu fungus ghono na cancer za kooo pia .... kipendacho roho hula nyama mbichi
 
Last edited by a moderator:
dah, ama kweli jf kila siku inazidi kuvamiwa!
 
Man we lamba tuu, mbona wa kwenye video huwa walamba lakini kumbuka za kibongo huwa zinatisha
 
Jina lako mbona wataka kwenda kinyume nalo, ukipenda kitu utakifanyia chochote kilizike.
 
Hivi JF hamnaga ustaarabu wa ku-delete watu au kuwapiga ban?
Kwa sababu hii naona ina deserve ban kabisa
 
Back
Top Bottom