Madhara ya P2

nimechafukwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
288
Reaction score
230
Nina mpenzi wangu tuna kama miaka 4 kwenye uhusiano wetu kwa miaka 3 tumekua tukitumia condom ila huu mwaka wa 4 yametushinda siku moja nikiwa na condom ili bust basi tukaenda kavukavu.

Baada ya game mpenzi wangu akanambia kwa miaka yote siku hiyo ndio kaona raha ya ajabu hataki tena condom, so huwa anameza ma p2 ili asipate ujauzito.

Ndio nauliza wadau kuna madhara yoyote ya hizo dawa?Nisije kumuharibu kizazi mtoto wa watu
 
nimechafukwa

UnaShInDwa MwAGaaa nJeee! Au mnAshIndwAa coNtrolLl daNger daYss zaKee uSiwe uNamwaGaAaa insIdee?


tAfaKari chUkua haTuAa kuBwaaA.
 
Last edited by a moderator:
Kama kuna watu wenye matatizo ni wale wanaojitumilia madawa kwa kuwa wamesikia ni ya kazi flan tu. Huu ni uzembe wa hali ya juu kabisa.
Dawa za uzazi mbona zipo tena zinafanya kazi nzuri sana? Lakini, lazima upimwe damu yako kujua aina inayokustahili weye! Loh! Kuna watu wanaotumia haya madawa bil kuandikiwa aina unayostahili na dakitari?? Acha mara moja.

Nendeni kituo cha afya, penye nyote ya kijani, mtapewa inayo wastahili.Mwisho mnakuja kuzaa viumbe vya ajab kisa madawa ya kuzuia mimba. Pili huyo mwanamke ana mtoto? Mbona mnaanza upuuzi huu mapema hivi? Kama anataka kav kav si aamue atotoe tuu? Mamake angeliizuia siku alipo patikana yeye ungekuwa unalamba mbuzi?? Sijui ila ka ni mimi ningemshauri mtotoe kitoto kimoja au viwili kwanza nfikiri mambo mengine hata ka ni kutoa hilo shamba kabisa
 

Unajua kuwa kufanya mapenzi kabla ya ndoa ni dhambi,kwa nini ujinyime raha kwa kutumia Condom,mara P2!!Owa mkuu uwe unapata hiyo kitu kavukavu,si umeona mwenzako alipogusana na kitu bila ya Condom alivyofurahia!!Mungu alikataza uzinzi sio kwakuwa aliona utafaidi ni kwa sababu alijua hutapata raha unayoitaraji.Madhara ya P2 ni kutofaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…