nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 288
- 230
Nina mpenzi wangu tuna kama miaka 4 kwenye uhusiano wetu kwa miaka 3 tumekua tukitumia condom ila huu mwaka wa 4 yametushinda siku moja nikiwa na condom ili bust basi tukaenda kavukavu.
Baada ya game mpenzi wangu akanambia kwa miaka yote siku hiyo ndio kaona raha ya ajabu hataki tena condom, so huwa anameza ma p2 ili asipate ujauzito.
Ndio nauliza wadau kuna madhara yoyote ya hizo dawa?Nisije kumuharibu kizazi mtoto wa watu