kadiri kasimba
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 588
- 1,150
Wana enjoy maisha au maisha yanawa enjoy?Wacha vijana wa enjoy maisha
Sio Iko kama maji mkuu, hapo kíchwa chako kianza kuadvance, Kwa maana utaanza kunywa mzinga mdogo baadae huskii unakunywa mkubwa hivyo hivyo taratibu unaanza kuwa sugu!Pombe ni mbaya! Full stop, na ndiyo nainywa muda huu, hivi konyagi nayo ni pombe kali? Mbona siku hizi iko kama maji tu?
Sio vitisho mkuu huu ni uhalisia uwe na Hela usiwe na Hela, pombe Kali ni hatari mkuu!Mkikosa hela msiwe mnakuja na nyuzi za vitisho aiseee...🙄
Kwann umetumia neno ilikupa?pombe a.k.a pombela mimi ilinipa dili nyingi na marafiki wengi sijui kwenu wanajamii
Kumbe kali...Sio vitisho mkuu huu ni uhalisia uwe na Hela usiwe na Hela, pombe Kali ni hatari mkuu!
Ingekuwa hatari ivyo huyo jamaa kwenye boda asingezeekaSio vitisho mkuu huu ni uhalisia uwe na Hela usiwe na Hela, pombe Kali ni hatari mkuu!
Unafkiri ni kwanini imeandikwa unywaji pombe kupita kiasi ni hatari Kwa afya Yako?Ingekuwa hatari ivyo huyo jamaa kwenye boda asingezeeka
Kama nani?Pombe sijui mnaipendea nini,maana imewaharibia na kuwapotezea heshima watu wengi
Hata beer ukizidisha kisukari atakuwa mgeni wako baadae!Kumbe kali...
Minilizani beer aiseee...😋
SI kupitia kiasi.! Kwani kila mtu anapita kiasi.?Unafkiri ni kwanini imeandikwa unywaji pombe kupita kiasi ni hatari Kwa afya Yako?
Mwanaume mwenye uzito wa kilo 90 ambae anaamka saa 5:00hrs, anakula matunda saa 8:00hrs kisha nature ya kazi yake ni kutembea imbali wa 100mts 90degrees, baada ya pale anatakiwa anywe beer lita ngapi kwa siku?Hata beer ukizidisha kisukari atakuwa mgeni wako baadae!