"Madhara ya pombe Kwa vijana-jiokoe kabla haujachelewa!

Usitutishe abarikiwe alieanzisha pombe isingekuwepo ningeshajiua kitambo kwa msongo wa mawazo mwaka wa 20 nakunywa pombe we dogo uje unikataze leo TULIA UMENIUZI SANA
 
Hao chapombe, walevi sugu wanaofungashwa hivyo kama mzigo ni Warombo
 
Natumia pombe,ila kiukweli sio nzuri kimaisha, nisipokunywa muda mrefu kama sasa nakuwa active sana, mwili na akili inakua strong sana...ni utumwa sana, perhaps nikaachana nayo kunywa mara kwa mara.
 
Usitutishe abarikiwe alieanzisha pombe isingekuwepo ningeshajiua kitambo kwa msongo wa mawazo mwaka wa 20 nakunywa pombe we dogo uje unikataze leo TULIA UMENIUZI SANA
FUta Hilo neno Dogo, na hakuna mahali nimeandika nimekukatazà, we mwaka wa 20 unakunywa pombe, ila Mimi sijaandika pombe,soma vzr ndo uchangie acha kukurupuka
Na kingine huo muda wa miaka 20 zidisha mara 2 halafu ongeza 18 ndo utajuwa kati ya Mimi na wewe ni nani Dogo!
 
Natumia pombe,ila kiukweli sio nzuri kimaisha, nisipokunywa muda mrefu kama sasa nakuwa active sana, mwili na akili inakua strong sana...ni utumwa sana, perhaps nikaachana nayo kunywa mara kwa mara.
Good decision 💪
 
Ngoja tuumize babu wa loliondo
 
Mwanaume mwenye uzito wa kilo 90 ambae anaamka saa 5:00hrs, anakula matunda saa 8:00hrs kisha nature ya kazi yake ni kutembea imbali wa 100mts 90degrees, baada ya pale anatakiwa anywe beer lita ngapi kwa siku?
Hii swali lako linaonekana ni mtindo wa chang
Mwanaume mwenye kilo 90, hata akiamka saa 5, akala matunda saa 8 na kutembea mita 100 kwa 90°, bado kiasi cha bia kinachotakiwa kwa siku ni “lita sifuri” kwa sababu kiafya pombe siyo mahitaji ya mwili.
Mwili unahitaji maji safi (angalau lita 2–3 kwa siku), chakula chenye virutubisho, na mazoezi – lakini si bia.
 
Kuna mtu aliniuliza hivi kwa nini unakunywa pombe?
Nikamjibu nakunywa pombe kwa sababu zipo.
 
Mkuu una utani na warombo?🤣🤣🤣
Niliwahi kuona hiyo taarifa kwa urefu, na ilikuwa imesindikizwa na picha za hivyo.

Pia ilisemekana huduma ya ngono wake zao wanapewa na Wakenya maana hao Chapombe hawawezi
 
Bwana mdogo una dharau sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…