Madhara ya simu za mkononi katika uzazi kwa wanaume

mngony

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
5,555
Reaction score
6,972
Habari za kunyumba wakuu, tumekua tukisikia mda mrefu kuhusu madhara ya simu kwa uzazi wa mwanaume. nimeona ni-copy na ku-paste habari hii ya leo kama ilivyo nisije ongeza neno.
=====================

Source:BBC
 
Kama ni hivyo kuna wengine wangeshang'oka kizazi
 
je kwa wale watoto wa siku hizi ambao wako darasa la tano wana ma iphone 5, samsung s5 na kila kituuuu?
 
May be its true but African hatuwezi dhurika kwa sababu hatuamini katika research
 
Kama ni hivyo kuna wengine wangeshang'oka kizazi

ni sperm count mkuu, kusimamisha na ku-ejaculate kama kawaida. sperm count ikipungua maana yake uwezo wa kutunga mimba unapungua pia...
 
je kwa wale watoto wa siku hizi ambao wako darasa la tano wana ma iphone 5, samsung s5 na kila kituuuu?

maana yake wanakuwa katika risk kubwa kama wataendelea kuwa exposed mpaka ukubwani.
 
Uongo mtupu.

ni maoni pia mkuu, ila hizo ni research za wataalamu na sio maneno mtaani. na sija claim kama ni kweli au uongo, ila ukweli ni kwamba mionzi na joto kubwa zinaathiri utengenezaji wa mbegu za uzazi. na ndio maana p..mbu zinaning'inia kwa nje na mda mwingine hujaa mda mwingine kusinyaa. yote ni kulinda mabailiko ya joto
 
labda.
ila jua kuwa mwili huchakaa kwa mambo mengi. kwan hata hao wanaoshinda maabara pia hudhurika. je waache?

kwa mfano watu wa radiotheray huwa wana mda maalum wa kufanya kazi kwenye chumba cha mionzi. kwa kawaida hutakiwa kuvaa kifaa maalum ambacho huonyesha kiwango cha mionzi kilichofyonzwa na mwili wake. sio kila mionzi huathiri ila kuna kiwango chake maalum.
 
sasa mimi ninaye fanya kazi kwenye miamba; huu ni mwaka wa 10 nacheza na mionzi tena mikali! Mhuuuuuu! Basi huenda watoto nilionao siyo wangu? Nipeni kwanza kanselingi mwenzenu kwa risechi hii nimechanganyikiwa
 
ni sperm count mkuu, kusimamisha na ku-ejaculate kama kawaida. sperm count ikipungua maana yake uwezo wa kutunga mimba unapungua pia...
mkuu kwan sperm moja inatosha kutunga mimba au?
au nipatie kiutaalam ili nijue zaidi,kwa vipi uchache wa sperm inapunguza fertility?:scared:
 
Hivi quality ya simu inaweza ku determine level na aina ya mionzi inayotoka. Najiuliza kwa sababu ya hizi michina zetu za bei chee...
 
Hivi quality ya simu inaweza ku determine level na aina ya mionzi inayotoka. Najiuliza kwa sababu ya hizi michina zetu za bei chee...

Hili halihitaji tafiti.....ubora wa chini unakua kwenye kila kitu. Uwezo wa simu kuchuja mionzi unaendena na ubora wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…