Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,346
Hili halihitaji tafiti.....ubora wa chini unakua kwenye kila kitu. Uwezo wa simu kuchuja mionzi unaendena na ubora wake.
Twaafa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili halihitaji tafiti.....ubora wa chini unakua kwenye kila kitu. Uwezo wa simu kuchuja mionzi unaendena na ubora wake.
Hapa kidogo umenena maana umeonyesha link ya joto na production ya sperm maana wengi husema laptop kuweka kwenye mapaja au simu sijui imekuaje bila kutoa evidence kwa mbaliiiiii, in this case nakubaliana na wewe hapo bold kwa kuwa production ya sperm inahitaji joto la chini ya mwili hivyo kama muda mrefu joto linaandama huku korodanini inakuwa shida kwenye production though ina depend ni kwa muda gani huwa unawekani maoni pia mkuu, ila hizo ni research za wataalamu na sio maneno mtaani. na sija claim kama ni kweli au uongo, ila ukweli ni kwamba mionzi na joto kubwa zinaathiri utengenezaji wa mbegu za uzazi. na ndio maana p..mbu zinaning'inia kwa nje na mda mwingine hujaa mda mwingine kusinyaa. yote ni kulinda mabailiko ya joto
Ila msihofu ni sperm count tu mambo mengine yanaendelea kama kawa hivyo kama familia tayari mmeshaitengeneza hiyo inakuwa ni njia moja wapo ya family planningmhm! inabidi tuanze mchakato sasa wa kuchunguza zaidi na kuwa wagunduzi zaidi
mkuu kwan sperm moja inatosha kutunga mimba au?
au nipatie kiutaalam ili nijue zaidi,kwa vipi uchache wa sperm inapunguza fertility?:scared: