Madhara ya simu za mkononi katika uzazi kwa wanaume

Hili halihitaji tafiti.....ubora wa chini unakua kwenye kila kitu. Uwezo wa simu kuchuja mionzi unaendena na ubora wake.

Twaafa...
 
Hapa kidogo umenena maana umeonyesha link ya joto na production ya sperm maana wengi husema laptop kuweka kwenye mapaja au simu sijui imekuaje bila kutoa evidence kwa mbaliiiiii, in this case nakubaliana na wewe hapo bold kwa kuwa production ya sperm inahitaji joto la chini ya mwili hivyo kama muda mrefu joto linaandama huku korodanini inakuwa shida kwenye production though ina depend ni kwa muda gani huwa unaweka
 
Ushauri zaidi ,wanaume tupunguze kuvaa chupi ,boxer za kubana na hutu tunguo tunatobana twa siku izi. Ebu feel free jiachie sperms zitengenezwe kwa wingi
 
mkuu kwan sperm moja inatosha kutunga mimba au?
au nipatie kiutaalam ili nijue zaidi,kwa vipi uchache wa sperm inapunguza fertility?:scared:

mkuu sperm count ikipungua unapunguza probability ya kutunga mimba, kwa sababu nyingi hufa njiani kutoka na mazingira, wakati zingine zinakufa husaidia wengine kufika, yani kama kuji-sucrifice. ndio maana ejaculation moja ina millions of sperm. hata hivyo pamoja na huo u-millions bado kutunga mimba bado unawezaa kukaa hata miaka miwili. sasa zikipungua je!
Kimetah
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…