Madhara ya spirit sehemu za siri

ameline

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
2,292
Reaction score
1,151
Ndugu zangu poleni na majukumu., naomba mnisaidie kwa mnaofahamu madhara ya kutumia spirit sehemu za siri baada ya kunyoa.Kuna rafiki yangu alimwona msichana wake wa ndani anajikuna sana akamuuliza nini shida, yule msichana akamwambia nimenyoa, sasa yule mama nikasikia akimwambia siku nyingine atumie spiriti hatawashwa. Sasa ndugu zangu mimi nikapata mshtuko kusikia hivyo, naomba kuwauliza madaktari na wadau wenye uzoefu jamani, hiyo spirit haina madhara?:sleepy:
 
Yaani umesikia tu huyo mama , ukapata wasiwasi na kumuonea huruma hausigeli mpaka kukimbilia kuanzisha thread..???? Mhh hii imekaa kimwigulu-gulu na kimchembachemba..!
 
hiyo kitu ni disinfect or /anti bacterial inaweza kutumika kwa umakini exterier parts isiwe zaidi(i mean isingie ndani)
 
Highly inflamable,its for external use,avoid to use in broken skin!
 

Hapo nyumbani kama kuna baba atakua anatumia after-shave lotion (splash) baada ya kunyoa ndevu - huyo binti na atumie hiyo. Hiyo ni scented spirit na kazi yake kama ilivyoelezwa na Gilo24 ni kuua vijidudu (disinfect) na ku-numb sehemu zilizokatwa na wembe. Ili mapele yasitoke ni vizuri kwa siku mbili au tatu baada ya kunyoa apake hiyo after-shave lotion kila baada ya kuoga.

Kama nyumbani kuna first-aid kit na humo ndani kuna rubbing alcohol (au unaweza kuinunuwa mitaani) anaweza kuitumia hiyo moja kwa moja au nashauri aichanganye na body lotion kidogo na atakuwa ametengeneza mwenyewe after-shave lotion.
 
ahsanteni sana kwa ushauri wenu
 
Yaani umesikia tu huyo mama , ukapata wasiwasi na kumuonea huruma hausigeli mpaka kukimbilia kuanzisha thread..???? Mhh hii imekaa kimwigulu-gulu na kimchembachemba..!

siyo kumuonea huruma tu mkuu, hata mimi ni mwanamke ni vizuri kujifunza pia kama ni potential na mimi nitumie pia, hata kama isipokua kwangu nitamsaidia na mwingine ambaye labda alikua anatumia na hajui madhara yake, au ambaye hatumii basi aweze kutumia,.huku ni kuelimishana
 
Tumia lakini isiingie ndani, ikiingia tu mwanangu utaimba kikwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…