ameline
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 2,292
- 1,151
Ndugu zangu poleni na majukumu., naomba mnisaidie kwa mnaofahamu madhara ya kutumia spirit sehemu za siri baada ya kunyoa.Kuna rafiki yangu alimwona msichana wake wa ndani anajikuna sana akamuuliza nini shida, yule msichana akamwambia nimenyoa, sasa yule mama nikasikia akimwambia siku nyingine atumie spiriti hatawashwa. Sasa ndugu zangu mimi nikapata mshtuko kusikia hivyo, naomba kuwauliza madaktari na wadau wenye uzoefu jamani, hiyo spirit haina madhara?:sleepy: