Aninyimae mbaazi kanipunguzia mashuzi
mkuu kwavile nyie mna uwezo wa kunywa juice asubui mkazani wote wako hivyo
Sie wapenzi wa asali hakuna tabu. Waache wafiche gunia zao za sukari...
Kwa hivyo mwataka tuaminisha kwamba JPM alivyosema atagawa bure yale matani ya sukari weye kuendi kuchukua kwa kuogopa kisukari?? Wakaa wapi mkuu nije unipe shea yako?
Kama huna pesa ya kununua hata maji yanaletaga ugonjwa wa kukojoa kitandani, tusinywe ,maji ya Uhai. Tena yana chumvi nyingi ambayo ni hatari mwilini. Tunywe maji ya visimani kwani yamechujwa tiyari na mchanga.
Leta wazo jingime ila hili la sukari, acha watu wajilie vyao. Watu wameinunua kwa bei mara mbili wasema yaleta ugonjwa!
Huenda ni DodomaNi kijiji gani unachokiongelea mkuu,isije ikawa unaongelea mabwe pande?
hutumika*Dah hizi shule Ni shida kwa sasa ! Sukari siyo tu kwa ajili ya chai majumbani lakini asilimia kubwa utumika viwandani kutengeneza vinywaji baridi Na Moto.