Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
EwaaaPia mtoto haoni umuhimu wa ndoa.
Maana anakua kwa kuona wazazi hawapo pamoja hivyo inamuathiri.
Fuatilia kwa watoto ambao wamelelewa na mzazi mmojaNadhani kuna wanaolelewa na wazazi wote na malezo wapatayo ni mabovu vile vile