Leo nmetumiwa video ikionesha hatariii na madhara ya soda asee wakuu acheni kunywa soda, vinginevyo wakati unakunywa andaa na bajeti ya matibabu, nmeshindwa kui attach, mwenye nayo ataiweka,,,,
Ila wakuu soda mmmm basi
Kama kuna mtu anaihitaji hyo video ani pm kwa no ya wasup nmtumie. Pengine anaweza anweza kusaidia ku apload

Nmekutumia mkuu0785-503722
Hio inaitwa foods weapon. vumetengenezwa kupunguza population, watu mahiri na wasomi na viongozi hawanywi soda.
Nimekutumia mkuu0712507817
Mkuu ungekuwa umeona hyo video usingesema, ni hataaariiiii mkuuMsiogopeshe watu nyie.Soda walau moja kwa wiki si mbaya sana labda kama kila siku unatumia.Na sio soda tu kila kitu ukitumia kupita kipimo ni hatari.
Ndo maana Mimi sinywi soda nakunywa kisusio tu
Nmekutumia mkuu
Kama kuna mtu anaihitaji hyo video ani pm kwa no ya wasup nmtumie. Pengine anaweza anweza kusaidia ku apload
Mkuu jina la kitabu, na mahari kinapo patikana???Kuna kitabu cha riwaya kimeandikwa na Mtanzania mzalendo kinaitwa JANGA,kinaeleza kwa jinsi
watengenezaji WA vinywaji wanavyohusika kuharibu kizazi cha sasa kwa kuchanganya na sumu za hatari zenye kuuq taratibu.Kitabu hicho kinaeleza PIA jinsi gani mashirika makubwa ya kimataifa uhusika katika mipango hiyo mibovu.Kinaonesha PIA kwa jinsi gani wenye viwanda hulipwa pesa nyingi kwa Kasi hiyo.
Leo nmetumiwa video ikionesha hatariii na madhara ya soda asee wakuu acheni kunywa soda, vinginevyo wakati unakunywa andaa na bajeti ya matibabu, nmeshindwa kui attach, mwenye nayo ataiweka,,,,
Ila wakuu soda mmmm basi
I wish niache kunywa soda manake dah.
Mkuu hoja c ku consum ngap, hoja ni matumizi, nikupe mfano ukiambiwa kuwa chakula unacho kula n kitamu sana ila kimewekewa sum kidogo tu, je utaendelea kula??.....usiogope...watu wanatisha badala ya kueleza kwa kina..inategemea unaconsume ngapi na kwa muda gani..na kiasi kipi ni hatari kwa afya..ukijua hayo utafahamu upo katika nafasi gani...
Sio soda pekee ni bidhaa nyingi;kinato tuathiri zaidi ni utamaduni wa kupuuzia maarifa.