Madhara ya USA Kujiondoa Uwanachama wa WHO kwa Tanzania Kuanzia Mwaka 2025 Hadi 2030: Athari kwenye Global Fund

Mjinga kama mchina tapeli wa kujdai anaisaidia africa kumbe ndo mpumbavu kbs bora hata wazungu tu mshenzi kbs
Awasaidie nyie walemavu ?

Kwa nini mnapenda sana kusaidiwa au nyie walemavu wa akili maana hii sio hali ya kawaida umekosa kabisa la kuandika ukaona kusaidiwa ndio jambo la muhimu ujinga umejaa hili bara
 
Awasaidie nyie walemavu ?

Kwa nini mnapenda sana kusaidiwa au nyie walemavu wa akili maana hii sio hali ya kawaida umekosa kabisa la kuandika ukaona kusaidiwa ndio jambo la muhimu ujinga umejaa hili bara
Ujinga ni kweli umejaa kwenye hili bara, ili utoke kwenye huo ujinga ni lazima usaidiwe.
 
Poa tu na ajitoe ili kweli WHO iwe World Health Organization kiukweli kweli..., na faida nyingine ambazo anapata pia watu waanze kumuondoa (mfano kuitumia NATO kama Nyenzo); bila kusahau dunia kuanza kuondoka kwenye Dollar kama World Currency (Hii inampa faida kubwa sana); In short with Great Power comes Great Responsibility..., Marais waliopita walifahamu hili ndio maana waliweza kuendelea kula na Vipofu kwa muda mrefu Sana. By the way hizo ajira na Supplier wa WHO wanawanufaisha sana kina nani kama sio Americans
 
Kuna huge deposit ya gas Lindi, serikali inasuasua, ifanye taratibu ya kukaribisha wawekezaji, nchi ijikwamue kwa mambo madogo badala ya kutegemea misaada!
 
Misaada ya kimichongo iyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…