Zile tetesi kwamba kuna chuki za kocha wa Taifa Stars dhidi ya kuuvaa mkenge wa Usimba na Uyanga leo umedhihirika baada ya timu aliyoiteua kutofua dafu kwa Taifa dogo la Rwanda na kutoka sruhu Kocha inabidi ajitathimini kama hii CHAN inahusu wachezaji wa ndani kwa nini hawasiliniani na makocha wa timu zingine zinazoshiriki ligi kuu ili achague the best prayer akaachana na huu Usimba na Uyanga leo unamchafua kwamba timu ya Taifa haijafanya vizuri kwa sababu ya mapenzi binafsi ya kocha.
Byebye..huna habariImeigharimu vp? Kwani ndo tayari tumeshaaga mashindano?
Maximo aliweza kiasi fulaniSoka la bongo halieleweki...usipoweka wachezaji wa Simba Yanga au Azam bado watu watalalamika...Muarobaini wa hili tatizo sijui ni lipi
True mkuu...watu watasema hamuwachukui wachezaji wenye wazoefu mnachukua wasio na uzoefu wa mechi za kimataifa kwa hiyo tutaishiwa kufungwa...Hii kitu mbaya sana kila kocha akija anakuja na kikosi chake yaani panga pangua